Kutoka 20:4
Kutoka 20:4 Biblia Habari Njema (BHN)
“Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia.
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Shirikisha
Soma Kutoka 20