Kutoka 20:19
Kutoka 20:19 Biblia Habari Njema (BHN)
wakamwambia Mose, “Ongea nasi wewe mwenyewe, nasi tutakusikiliza, lakini Mwenyezi-Mungu asiongee nasi, tusije tukafa.”
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakamwambia Musa, Sema nasi wewe, nasi tutasikia, bali Mungu asiseme nasi, tusije tukafa.
Shirikisha
Soma Kutoka 20