Kutoka 20:18
Kutoka 20:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu waliposikia ngurumo na kuona umeme ukiwaka na kuisikia sauti ya parapanda juu ya mlima uliokuwa unafuka moshi, wote waliogopa na kutetemeka. Wote walisimama mbali
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wote wakaona umeme na ngurumo na sauti ya baragumu, na ule mlima kutoka moshi; na watu walipoona hayo wakatetemeka, wakasimama mbali.
Shirikisha
Soma Kutoka 20