Kutoka 20:11
Kutoka 20:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana kwa siku sita mimi Mwenyezi-Mungu niliziumba mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo, kisha nikapumzika siku ya saba. Kwa hiyo mimi Mwenyezi-Mungu niliibariki siku ya Sabato, nikaitakasa.
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Shirikisha
Soma Kutoka 20