Kutoka 20:1-3
Kutoka 20:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alizungumza maneno haya yote, akasema, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchini Misri, ambako ulikuwa mtumwa. “Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:1-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akanena maneno haya yote akasema, Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Shirikisha
Soma Kutoka 20