Kutoka 20:1-2
Kutoka 20:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alizungumza maneno haya yote, akasema, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchini Misri, ambako ulikuwa mtumwa.
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akanena maneno haya yote akasema, Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
Shirikisha
Soma Kutoka 20