Kutoka 2:5
Kutoka 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, binti Farao akashuka mtoni kuoga, na watumishi wake wakawa wanatembeatembea kandokando ya mto. Binti Farao akakiona kile kikapu katika majani, akamtuma mjakazi wake akichukue.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi binti Farao akashuka, aoge mtoni, na vijakazi wake wakatembea kando ya mto; naye akakiona kile kikapu katika nyasi, akamtuma kijakazi wake kwenda kukileta.
Shirikisha
Soma Kutoka 2