Kutoka 2:23
Kutoka 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya muda mrefu, mfalme wa Misri akafa. Waisraeli wakapiga kite na kulia kutokana na hali yao ya utumwa, na kilio chao kikamfikia Mungu juu.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kisha baada ya muda, yule mfalme wa Misri akafa; wana wa Israeli wakaugua kwa sababu ya ule utumwa, wakalia; kilio chao kikafika juu kwa Mungu kwa sababu ya ule utumwa.
Shirikisha
Soma Kutoka 2