Kutoka 2:22
Kutoka 2:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Zipora akamzalia mtoto wa kiume. Mose akasema, “Nimekimbilia katika nchi ya kigeni”, kwa hiyo akampa huyo mtoto jina Gershomu.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Huyo akamzalia mtoto wa kiume, akamwita jina lake Gershomu, maana alisema, Nimekuwa mgeni katika nchi ya ugeni.
Shirikisha
Soma Kutoka 2