Kutoka 2:21
Kutoka 2:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akakubali kukaa kwa huyo mtu. Basi, huyo mtu akampa Mose binti yake aitwaye Zipora awe mke wake.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akawa radhi kukaa kwake mtu yule, naye akampa Musa binti yake, Sipora.
Shirikisha
Soma Kutoka 2