Kutoka 2:19
Kutoka 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Nao wakamjibu, “Mmisri mmoja alituokoa mikononi mwa wale wachungaji, naye mwenyewe akachota maji na kuwanywesha wanyama wetu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakasema, Mmisri mmoja alituokoa katika mikono ya wachungaji, tena zaidi ya hayo, akatutekea maji, akalinywesha kundi.
Shirikisha
Soma Kutoka 2