Kutoka 2:14
Kutoka 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akamjibu, “Nani aliyekuweka wewe kuwa mkuu na mwamuzi wetu? Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri?” Hivyo, Mose aliogopa na kufikiri, “Bila shaka jambo hilo limejulikana!”
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yule akasema, Ni nani aliyekuweka wewe kuwa mkuu wetu, na mwamuzi juu yetu? Je! Wataka kuniua kama ulivyomwua yule Mmisri? Musa akaogopa, akasema, Kumbe! Jambo lile limejulikana.
Shirikisha
Soma Kutoka 2