Kutoka 2:10
Kutoka 2:10 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mtoto alipokua, akampeleka kwa binti Farao, naye akawa mwanawe. Akamwita jina Musa, akisema, “Nilimtoa kwenye maji.”
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtoto alipokuwa mkubwa kiasi, mama yake akampeleka kwa binti Farao, naye akamchukua na kumfanya mwanawe. Binti Farao akasema, “Nimemtoa majini,” kwa hiyo akampa mtoto huyo jina Mose.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtoto akakua, naye akamleta kwa binti Farao, akawa mwanawe. Akamwita jina lake Musa.
Shirikisha
Soma Kutoka 2