Kutoka 2:1-2
Kutoka 2:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kulikuwa na mtu mmoja wa ukoo wa Walawi aliyemwoa mwanamke mmoja ambaye pia alikuwa wa ukoo wa Walawi. Basi, mama huyu akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume. Alipoona kwamba mtoto huyo mchanga alikuwa mzuri, akamficha kwa muda wa miezi mitatu.
Shirikisha
Soma Kutoka 2Kutoka 2:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaenda akaoa binti mmoja wa Lawi. Yule mwanamke akachukua mimba akazaa mwana, na alipoona ya kuwa ni mtoto mzuri akamficha miezi mitatu.
Shirikisha
Soma Kutoka 2