Kutoka 19:7-8
Kutoka 19:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mose akarudi, akawakusanya pamoja wazee wa Waisraeli na kuwaambia maneno hayo aliyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Watu wote wakaitikia kwa pamoja wakisema, “Mambo yote aliyoyasema Mwenyezi-Mungu, tutayafanya.” Mose akamjulisha Mwenyezi-Mungu jibu hilo la watu.
Shirikisha
Soma Kutoka 19Kutoka 19:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akaenda akawaita wazee wa watu, akawafunulia maneno hayo yote, BWANA aliyokuwa amemwagiza. Watu wote wakaitika pamoja wakisema, Hayo yote aliyoyasema BWANA tutayatenda. Naye Musa akamwambia BWANA maneno ya hao watu.
Shirikisha
Soma Kutoka 19Kutoka 19:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Kutoka 19