Kutoka 19:3
Kutoka 19:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akapanda kwa Mungu, na BWANA akamwita kutoka mlimani ule, akisema, Utawaambia nyumba ya Yakobo, na kuwaarifu wana wa Israeli, maneno haya
Shirikisha
Soma Kutoka 19Kutoka 19:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mose akapanda juu mlimani kwa Mungu. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwita Mose kutoka huko juu mlimani, akamwambia, “Hivi ndivyo utakavyowaambia wazawa wa Yakobo, hao Waisraeli
Shirikisha
Soma Kutoka 19Kutoka 19:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akapanda kwa Mungu, na BWANA akamwita kutoka mlimani ule, akisema, Utawaambia nyumba ya Yakobo, na kuwaarifu wana wa Israeli, maneno haya
Shirikisha
Soma Kutoka 19