Kutoka 19:10-11
Kutoka 19:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nenda kwa watu uwatakase leo na kesho. Waambie wayafue mavazi yao wawe tayari kwa kesho kutwa, maana siku hiyo ya tatu mimi Mwenyezi-Mungu nitashuka juu ya mlima Sinai mbele ya watu wote.
Shirikisha
Soma Kutoka 19Kutoka 19:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Nenda kwa watu hawa, ukawatakase leo na kesho, wakazifue nguo zao, wawe tayari kwa siku ya tatu; maana siku ya tatu BWANA atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu hawa wote.
Shirikisha
Soma Kutoka 19