Kutoka 19:1
Kutoka 19:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Siku ya kwanza ya mwezi wa tatu baada ya Waisraeli kuondoka Misri, walifika Jangwa la Sinai siku hiyo hiyo.
Shirikisha
Soma Kutoka 19Kutoka 19:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ya kwanza ya mwezi wa tatu tangu walipotoka nchini Misri, watu wa Israeli walifika katika jangwa la Sinai.
Shirikisha
Soma Kutoka 19Kutoka 19:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwezi wa tatu baada ya Waisraeli kutoka katika nchi ya Misri, siku iyo hiyo wakafika katika jangwa la Sinai.
Shirikisha
Soma Kutoka 19