Kutoka 17:9
Kutoka 17:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Musa akamwambia Yoshua, Tuchagulie watu, ukatoke upigane na Waamaleki; kesho nitasimama juu ya kilele kile, na ile fimbo ya Mungu nitakuwa nayo mkononi mwangu.
Shirikisha
Soma Kutoka 17Kutoka 17:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akamwambia Yoshua, “Chagua wanaume uende ukapigane na Waamaleki. Kesho nitasimama juu ya kilele cha kilima, nikiishika mkononi mwangu ile fimbo ya Mungu.”

Soma Kutoka 17Kutoka 17:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akamwambia Yoshua, Tuchagulie watu, uende ukapigane na Waamaleki; kesho nitasimama juu ya kilele kile, na ile fimbo ya Mungu nitakuwa nayo mkononi mwangu.
Shirikisha
Soma Kutoka 17