Kutoka 14:18
Kutoka 14:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, nitatukuka kwa kumwangamiza Farao na jeshi lake, pamoja na magari yake na wapandafarasi; nao Wamisri watajua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 14Kutoka 14:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapokwisha kujipatia utukufu kwa Farao, na magari yake, na farasi wake.
Shirikisha
Soma Kutoka 14