Kutoka 14:15-16
Kutoka 14:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kwa nini mnanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele. Inua fimbo yako na kuinyosha juu ya bahari. Maji yatagawanyika na Waisraeli wataweza kuvuka katikati ya bahari mahali pakavu.
Shirikisha
Soma Kutoka 14Kutoka 14:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele. Nawe inua fimbo yako, ukanyoshe mkono wako juu ya bahari, na kuigawanya; nao wana wa Israeli watapita kati ya bahari katika nchi kavu.
Shirikisha
Soma Kutoka 14Kutoka 14:15-16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Kutoka 14