Kutoka 13:9
Kutoka 13:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Adhimisho hilo litakuwa ukumbusho, kama alama katika mikono yenu au katika paji la nyuso zenu; ili iwakumbushe daima sheria ya Mwenyezi-Mungu. Maana, Mwenyezi-Mungu amewatoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu.
Shirikisha
Soma Kutoka 13Kutoka 13:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayo itakuwa ishara kwako katika mkono wako, na kwa ukumbusho kati ya macho yako, ili kwamba sheria ya BWANA ipate kuwa kinywani mwako; kwani BWANA alikuondoa utoke Misri kwa mkono wenye uwezo.
Shirikisha
Soma Kutoka 13