Kutoka 13:16
Kutoka 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Jambo hili litakuwa kama alama mkononi mwako au utepe katika paji la uso wako, kwamba Mwenyezi-Mungu alitutoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 13Kutoka 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Jambo hili litakuwa kama alama mkononi mwako au utepe katika paji la uso wako, kwamba Mwenyezi-Mungu alitutoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 13Kutoka 13:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jambo hilo litakuwa ni ishara mkononi mwako, na utepe katikati ya macho yako; kwa kuwa BWANA alitutoa Misri kwa uwezo wa mkono wake.
Shirikisha
Soma Kutoka 13