Kutoka 12:8
Kutoka 12:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watakula nyama yake usiku ule ule, imeokwa motoni, pamoja na mkate usiotiwa chachu; tena pamoja na mboga zenye uchungu.
Shirikisha
Soma Kutoka 12Kutoka 12:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wataila nyama hiyo usiku huohuo baada ya kuichoma; wataila pamoja na mkate usiotiwa chachu na mboga chungu za majani.
Shirikisha
Soma Kutoka 12Kutoka 12:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watakula nyama yake usiku ule ule, imeokwa motoni, pamoja na mkate usiotiwa chachu; tena pamoja na mboga zenye uchungu.
Shirikisha
Soma Kutoka 12