Kutoka 11:8
Kutoka 11:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena hao watumishi wako wote wataniteremkia kwangu mimi, nao watanisujudia, wakisema, Toka wewe, na hawa watu wote wakufuatao; na baada ya hayo nitatoka. Basi akatoka kwa Farao na hasira kuu.
Shirikisha
Soma Kutoka 11Kutoka 11:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akamalizia kwa kumwambia Farao, “Watumishi wako hawa watanijia na kuinama mbele yangu kwa heshima, wakinisihi niondoke nchini Misri, mimi pamoja na watu wote wanaonifuata. Baada ya hayo, nitaondoka.” Kisha Mose, huku akiwa ameghadhabika, akaondoka kwa Farao.
Shirikisha
Soma Kutoka 11Kutoka 11:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Soma Kutoka 11