Kutoka 11:7
Kutoka 11:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini miongoni mwa Waisraeli hakuna mtu, mnyama au mbwa wao atakayepatwa na madhara yoyote, ili upate kutambua kwamba mimi Mwenyezi-Mungu hutofautisha kati ya Waisraeli na Wamisri.’”
Shirikisha
Soma Kutoka 11Kutoka 11:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini katika wana wa Israeli hapana hata mbwa atakayetoa ulimi juu yao, juu ya mtu wala juu ya mnyama; ili kwamba mpate kujua jinsi BWANA anavyowatenga Wamisri na Waisraeli.
Shirikisha
Soma Kutoka 11