Kutoka 1:6-7
Kutoka 1:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye, Yosefu alifariki, hali kadhalika ndugu zake na kizazi kile chote. Lakini wazawa wa Israeli waliongezeka sana, wakawa wengi na wenye nguvu mno, wakaenea kila mahali nchini Misri.
Shirikisha
Soma Kutoka 1Kutoka 1:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yusufu akafa, na ndugu zake wote, na watu wote wa kizazi kile. Na wana wa Israeli walikuwa na uzazi sana, na kuongezeka mno, na kuzidi kuwa wengi, nao wakaendelea na kuongezeka nguvu; na ile nchi ilikuwa imejawa na wao.
Shirikisha
Soma Kutoka 1Kutoka 1:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Kutoka 1