Kutoka 1:5
Kutoka 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Wazawa wote wa Yakobo walikuwa watu 70. Wakati huo Yosefu alikuwa amekwisha tangulia kukaa huko Misri.
Shirikisha
Soma Kutoka 1Kutoka 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wale watu wote waliotokana na uzao wa Yakobo walikuwa watu sabini; na huyo Yusufu alikuwa huko ndani ya Misri tangu hapo.
Shirikisha
Soma Kutoka 1