Kutoka 1:21
Kutoka 1:21 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Kwa vile hao wakunga walimcha Mungu, Mungu akawajalia kuwa na jamaa zao wenyewe.
Shirikisha
Soma Kutoka 1Kutoka 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Na kwa vile wakunga hao walimcha Mungu, Mungu akawajalia kupata jamaa zao wenyewe.
Shirikisha
Soma Kutoka 1Kutoka 1:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ilikuwa kwa sababu wale wakunga walikuwa wakimcha Mungu, akawasimamishia nyumba.
Shirikisha
Soma Kutoka 1