Kutoka 1:17
Kutoka 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kwa kuwa wakunga hao walimcha Mungu, hawakufanya kama walivyoamriwa na mfalme wa Misri, bali waliwaacha watoto wa kiume wa Waisraeli waishi.
Shirikisha
Soma Kutoka 1Kutoka 1:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini hao wakunga walikuwa wacha Mungu, hawakufanya kama walivyoamriwa na huyo mfalme wa Misri, lakini wakawahifadhi hai wale watoto wa kiume.
Shirikisha
Soma Kutoka 1