Esta 1:1
Esta 1:1 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hili ndilo lililotokea wakati wa utawala wa Mfalme Ahasuero, yule aliyetawala majimbo mia moja na ishirini na saba (127) kutoka Bara Hindi hadi Kushi.
Shirikisha
Soma Esta 1Esta 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Ahasuero, alipotawala ufalme wake ulikuwa mikoa 127, toka India hadi Kushi.
Shirikisha
Soma Esta 1Esta 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme Ahasuero, alipotawala ufalme wake ulikuwa mikoa 127, toka India hadi Kushi.
Shirikisha
Soma Esta 1Esta 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika nyakati za Ahasuero; Ahasuero aliyetawala mikoa mia moja ishirini na saba, kutoka India mpaka Kushi
Shirikisha
Soma Esta 1