Waefeso 6:6
Waefeso 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Fanyeni hivyo si tu wakati wanapowatazama ili mjipendekeze kwao, bali tumikieni kwa moyo kama atakavyo Mungu kwa sababu nyinyi ni watumishi wa Kristo.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala si kwa utumwa wa macho tu kama wajipendekazao kwa wanadamu bali kama watumwa wa Kristo, mkitenda yampendezayo Mungu kwa moyo
Shirikisha
Soma Waefeso 6