Waefeso 6:5
Waefeso 6:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watumwa, watiini mabwana zenu hapa duniani kwa hofu na kutetemeka; fanyeni hivyo kwa unyofu wa moyo kana kwamba mnamtumikia Kristo.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba mnamtii Kristo
Shirikisha
Soma Waefeso 6