Waefeso 6:13
Waefeso 6:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu hiyo, vaeni silaha za Mungu ili siku ile itakapofika mweze kuyapinga mashambulio ya adui; na mkisha pigana mpaka mwisho, mtakuwa bado imara.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.
Shirikisha
Soma Waefeso 6