Waefeso 6:12
Waefeso 6:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana vita vyetu si vita kati yetu na binadamu, bali ni vita dhidi ya jeshi ovu la ulimwengu wa roho; tunapigana na watawala, wakuu na wenye nguvu, wanaomiliki ulimwengu huu wa giza.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Shirikisha
Soma Waefeso 6