Waefeso 6:1
Waefeso 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watoto, watiini wazazi wenu Kikristo maana hili ni jambo jema.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, maana hii ndiyo haki.
Shirikisha
Soma Waefeso 6