Waefeso 5:8
Waefeso 5:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Zamani nyinyi mlikuwa gizani, lakini sasa nyinyi mko katika mwanga kwa kuungana na Bwana. Ishini kama watoto wa mwanga
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, bali sasa mmekuwa nuru katika Bwana; nendeni kama watoto wa nuru
Shirikisha
Soma Waefeso 5