Waefeso 5:15-17
Waefeso 5:15-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi. Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima. Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya. Kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya Bwana.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:15-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi angalieni sana jinsi mnavyoenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; mkiukomboa wakati kwa maana nyakati hizi ni za uovu. Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Shirikisha
Soma Waefeso 5Waefeso 5:15-17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu. Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.
Shirikisha
Soma Waefeso 5