Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 5:15-16 - Compare All Versions

Waefeso 5:15-16 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, muwe waangalifu jinsi mnavyoishi. Msiishi kama wapumbavu, bali kama wenye hekima. Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya.

Shirikisha
Waefeso 5 BHN

Waefeso 5:15-16 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi angalieni sana jinsi mnavyoenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; mkiukomboa wakati kwa maana nyakati hizi ni za uovu.

Shirikisha
Waefeso 5 SRUV

Waefeso 5:15-16 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi angalieni sana jinsi mnavyoenenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima; mkiukomboa wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu.

Shirikisha
Waefeso 5 SUV

Waefeso 5:15-16 NEN (Neno)

Kwa hiyo angalieni sana jinsi mnavyoenenda, si kama watu wasio na hekima, bali kama wenye hekima, mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu.

Shirikisha
Waefeso 5 NEN