Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:7-8 - Compare All Versions

Waefeso 4:7-8 BHN (Biblia Habari Njema)

Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo. Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.”

Shirikisha
Waefeso 4 BHN

Waefeso 4:7-8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo. Hivyo husema, Alipopaa juu aliteka mateka, Akawapa wanadamu vipawa.

Shirikisha
Waefeso 4 SUV

Waefeso 4:7-8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini kila mmoja wetu alipewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa chake Kristo. Hivyo husema, Alipopaa juu aliteka mateka, Akawapa wanadamu vipawa.

Shirikisha
Waefeso 4 SRUV

Waefeso 4:7-8 NEN (Neno)

Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo. Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, aliteka mateka, akawapa wanadamu vipawa.”

Shirikisha
Waefeso 4 NEN