Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 4:31 - Compare All Versions

Waefeso 4:31 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, achaneni na uhasama, chuki, hasira, kelele na matusi. Acheni kila uovu!

Shirikisha
Waefeso 4 BHN

Waefeso 4:31 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matusi yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya

Shirikisha
Waefeso 4 SRUV

Waefeso 4:31 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya

Shirikisha
Waefeso 4 SUV

Waefeso 4:31 NEN (Neno)

Ondoeni kabisa uchungu, ghadhabu na hasira, makelele na masingizio, pamoja na kila aina ya uovu.

Shirikisha
Waefeso 4 NEN