Waefeso 4:22
Waefeso 4:22 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mlifundishwa kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale, ulioharibiwa na tamaa zake za udanganyifu
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, acheni mwenendo wenu wa awali, yaani ule utu wenu wa kale uliokuwa unaangamizwa kwa tamaa zake danganyifu.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mvue mwenendo wenu wa kwanza, utu wa zamani unaoharibika, kwa kuzifuata tamaa zenye kudanganya
Shirikisha
Soma Waefeso 4