Waefeso 4:2-3
Waefeso 4:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe daima wanyenyekevu, wapole na wenye saburi; vumilianeni nyinyi kwa nyinyi kwa mapendo. Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo; na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
Shirikisha
Soma Waefeso 4Waefeso 4:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwa unyenyekevu wote na upole, kwa uvumilivu, mkichukuliana katika upendo; na kujitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
Shirikisha
Soma Waefeso 4