Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 3:3-4 - Compare All Versions

Waefeso 3:3-4 BHN (Biblia Habari Njema)

Mimi nilijulishwa kwa njia ya ufunuo mpango wake uliofichika. (Nimeandika kwa ufupi juu ya jambo hili, nanyi mkiyasoma maneno yangu mtaweza kujua jinsi ninavyoielewa siri hiyo ya Kristo).

Shirikisha
Waefeso 3 BHN

Waefeso 3:3-4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

ya kwamba kwa kufunuliwa nilijulishwa siri hiyo, kama nilivyotangulia kuandika kwa maneno machache. Kwa hayo, myasomapo, mtaweza kuutambua ufahamu wangu katika siri yake Kristo.

Shirikisha
Waefeso 3 SRUV

Waefeso 3:3-4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

ya kwamba kwa kufunuliwa nalijulishwa siri hiyo, kama nilivyotangulia kuandika kwa maneno machache. Kwa hayo, myasomapo, mtaweza kuutambua ufahamu wangu katika siri yake Kristo.

Shirikisha
Waefeso 3 SUV

Waefeso 3:3-4 NEN (Neno)

yaani ile siri iliodhihirishwa kwangu kupitia ufunuo, kama nilivyotangulia kuandika kwa kifupi. Kwa kusoma haya, basi mtaweza kuelewa ufahamu wangu katika siri ya Kristo.

Shirikisha
Waefeso 3 NEN