Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 3:1-2 - Compare All Versions

Waefeso 3:1-2 BHN (Biblia Habari Njema)

Kutokana na hayo, mimi Paulo, mfungwa wa Kristo Yesu kwa ajili yenu, namwomba Mungu. Bila shaka mmekwisha sikia kwamba Mungu, kwa neema yake, alinikabidhi kazi hii niifanye kwa faida yenu.

Shirikisha
Waefeso 3 BHN

Waefeso 3:1-2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa sababu hiyo mimi Paulo ni mfungwa wake Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi Mataifa; ikiwa mmesikia habari ya uwakili wa neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu

Shirikisha
Waefeso 3 SRUV

Waefeso 3:1-2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa sababu hiyo mimi Paulo ni mfungwa wake Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi Mataifa; ikiwa mmesikia habari ya uwakili wa neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu

Shirikisha
Waefeso 3 SUV

Waefeso 3:1-2 NEN (Neno)

Kwa sababu hii, mimi Paulo, ni mfungwa wa Kristo Yesu kwa ajili yenu ninyi watu wa Mataifa. Kwa hakika mmekwisha kusikia kuhusu ile huduma ya neema ya Mungu niliyopewa kwa ajili yenu

Shirikisha
Waefeso 3 NEN