Waefeso 2:20
Waefeso 2:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mmejengwa juu ya msingi uliowekwa na mitume na manabii, naye Kristo mwenyewe ndiye jiwe kuu la msingi.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni.
Shirikisha
Soma Waefeso 2