Waefeso 2:18
Waefeso 2:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, kwa njia yake, sisi sote, Wayahudi na watu wa mataifa mengine, tunaweza kumwendea Baba kwa Roho mmoja.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kwa yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia Baba katika Roho mmoja.
Shirikisha
Soma Waefeso 2Waefeso 2:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana kwa yeye sisi sote tumepata njia ya kumkaribia Baba katika Roho mmoja.
Shirikisha
Soma Waefeso 2