Waefeso 1:7-8
Waefeso 1:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana kwa damu yake Kristo sisi tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa. Ndivyo ulivyo ukuu wa neema yake aliyotukirimia bila kipimo! Kwa hekima na ujuzi wake wote
Shirikisha
Soma Waefeso 1Waefeso 1:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, msamaha wa dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake. Naye alituzidishia hiyo katika hekima yote na ujuzi
Shirikisha
Soma Waefeso 1Waefeso 1:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake. Naye alituzidishia hiyo katika hekima yote na ujuzi
Shirikisha
Soma Waefeso 1