Mhubiri 7:18
Mhubiri 7:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Inakupasa ushike la kwanza na la pili pia; maana anayemtii Mungu atajengwa kwayo.
Shirikisha
Soma Mhubiri 7Mhubiri 7:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni vizuri kwamba ulishike neno hilo; naam, hata kwa neno hilo tena usiuondoe mkono wako; kwa kuwa mtu yule amchaye Mungu atatoka katika hayo yote.
Shirikisha
Soma Mhubiri 7