Mhubiri 7:15
Mhubiri 7:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika maisha yangu duni, nimeona kila kitu; mtu mwadilifu hufa ingawa ni mwadilifu, ambapo mtu mwovu huendelea kuishi maisha marefu ingawa ni mwovu.
Shirikisha
Soma Mhubiri 7Mhubiri 7:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mambo hayo yote nimeyaona mimi katika siku za ubatili wangu, yuko mwenye haki apoteaye katika haki yake, yuko na mtu mwovu azidishaye maisha yake katika udhalimu wake.
Shirikisha
Soma Mhubiri 7